Loading...

NAONA PENDO KUBWA - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 173

132,103 views 1817________

Philippians 1:6
Being confident of this, that he who began a good work in you will carry it on to completion until the day of Christ Jesus.

#PAPI_CLEVER_DORCAS
#NAONA_PENDO_KUBWA
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP

CLEDO MUSIC
Audio Producer : Papi Clever
Pianist : Merci
Video Director : MUSINGA
Assistant Director : CHRISPEN
location : AKAGERA TRANSIT LODGE

You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com

NAONA PENDO KUBWA LYRICS

1
Naona pendo kubwa mno, latoka kwa Mwokozi wangu - I see a great love, coming from my Savior
ni tele kama maji mengi yatembeayo baharini - as abundant as many waters moving in the sea Lanitolea tumaini yakwamba nitatiwa nguvu - It gives me hope that I will be strengthened
na niwe mhodari tena kwa pendo kubwa la Mwokozi! - and be strong again with the great love of the Savior!

Haleluya! Ni pendo kubwa linalotoka moyo wako! - Hallelujah! It is a great love that comes from your heart!
E’ Mungu wangu nakuomba: Nijaze pendo lako tele! - O my God, I am asking you: Fill me with your abundant love!

2
Na pendo hilo kubwa mno huyaondoa majivuno - And that great love removes pride
na kunifunza haki kweli, uongo wote niuvue! - and teaches me the truth, remove all lies from me! Hunituliza moyo wangu, huruma nayo hunitia. - It calms my heart, and it makes me feel compassion
Na sote tuwe na umoja katika pendo la Mwokozi - May we all be united in the love of the Savior.

3
Nijazwe pendo hilo kubwa, linibidishe siku zote! - Fill me with that great love, fill me all the days!
Rononi niwe na juhudi nitumikie Bwana Yesu! - Let me be diligent to serve the Lord Jesus
Hazina yako ‘nipeleke kwa watu waliopotea - Take your treasure to the lost people
wafahamishwe pendo kubwa ulilo nalo, Mungu wangu! - let them know the great love you have, my God!



#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs

Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA

コメント